Kama mpaka sasa maisha yako hayajaathiriwa kwa namna moja au nyingine na mlipuko wa Virusi vya Corona (COVID-19), basi wewe ni mmoja kati ya binadamu wachache wenye bahati sana. Mlipuko wa maradhi ya virusi vya Corona ndiyo habari inayotikisa dunia nzima, waswahili wanaita habari ya mjini. Kila taifa, kila...