Teknolojia za Mawasiliano zinavyorahisisha wito wa kufanya kazi kutoka nyumbani wakati huu wa mlipuko wa Maradhi ya Virusi vya Corona

Kama mpaka sasa maisha yako hayajaathiriwa kwa namna moja au nyingine na mlipuko wa Virusi vya Corona (COVID-19), basi wewe ni mmoja kati ya binadamu wachache wenye bahati sana. Mlipuko wa maradhi ya virusi vya Corona ndiyo habari inayotikisa dunia nzima, waswahili wanaita habari ya mjini. Kila taifa, kila...

Read More
Social Media Marketing

How Social Media Influencers Can Impact Your Customers’ Purchase Decisions

If you haven’t heard, social media influencers now play a pivotal role in marketing for a wide range of brands. Whether it’s endorsing a skincare product, a luxurious handbag, a new model SUV or even the latest knitting accessory, there’s a digital influencer for every product, and increasingly, more businesses...

Read More

Hatua za kutengeneza Programu Bora ya Waraghbishi (Influencers Marketing Program)

Ili uweze kufikia malengo yako ya kimasoko katika kutangaza huduma au bidhaa za kampuni yako, kutumia waraghbishi (Influencers) ni njia nzuri. Kufanya masoko kupitia waraghbishi (Influencer Marketing) imekuwa ni mbinu mpya na nzuri kwa makampuni, taasisi na hata mashirika katika miaka ya hivi karibuni. Mraghbishi (Influencer) ni mtu wa...

Read More

Kwanini Shirika au Taasisi Yako Inahitaji Mkakati wa Mawasiliano (Communication Strategy)?

Lengo kuu la Mkakati wa Mawasiliano (Communications Strategy) wa shirika au taasisi ni kufanikisha dhana nzima ya mawasiliano ya kimkakati baina ya shirika, wafanyakazi na wadau wake kuhusu shughuli mbalimbali na matokeo yake. Malengo ya mkakati wako yakitekelezwa vyema itasaidia kuwafanya watu waendelee kuvutiwa, kupenda na kuunga mkono kazi...

Read More

Mambo matano yatakaoyoongeza ufanisi wa biashara au taasisi yako mtandaoni

Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na Symantec unaonesha kwamba makampuni makubwa yanapoteza wastani wa dola milioni 4.3 au shilingi bilioni 10 za kitanzania kila mwaka duniani, hii ikitokana na makosa mbalimbali ya kimtandao. Hata kwa wataalamu wakubwa zaidi katika sekta ya mitandao ya kijamii na digitali bado kuna changamoto...

Read More