So, What is Public Relations and Why Should You Care?

As a public relations professional, I have had the distinct pleasure of working with public entities and high-tech startups and business-to-business (B2B) enterprises. This experience was an enlightening one, but never more so than engaging with startups and enterprises. I have worked extensively with programmers, coders, engineers and product...

Read More

Kwanini Shirika au Taasisi Yako Inahitaji Mkakati wa Mawasiliano (Communication Strategy)?

Lengo kuu la Mkakati wa Mawasiliano (Communications Strategy) wa shirika au taasisi ni kufanikisha dhana nzima ya mawasiliano ya kimkakati baina ya shirika, wafanyakazi na wadau wake kuhusu shughuli mbalimbali na matokeo yake. Malengo ya mkakati wako yakitekelezwa vyema itasaidia kuwafanya watu waendelee kuvutiwa, kupenda na kuunga mkono kazi...

Read More