Teknolojia za Mawasiliano zinavyorahisisha wito wa kufanya kazi kutoka nyumbani wakati huu wa mlipuko wa Maradhi ya Virusi vya Corona

Kama mpaka sasa maisha yako hayajaathiriwa kwa namna moja au nyingine na mlipuko wa Virusi vya Corona (COVID-19), basi wewe ni mmoja kati ya binadamu wachache wenye bahati sana. Mlipuko wa maradhi ya virusi vya Corona ndiyo habari inayotikisa dunia nzima, waswahili wanaita habari ya mjini. Kila taifa, kila...

Read More

So, What is Public Relations and Why Should You Care?

As a public relations professional, I have had the distinct pleasure of working with public entities and high-tech startups and business-to-business (B2B) enterprises. This experience was an enlightening one, but never more so than engaging with startups and enterprises. I have worked extensively with programmers, coders, engineers and product...

Read More

Influencer Marketing: Think Micro If You are Looking for Results

As everyone knows, all businesses whether small or big always wish to snatch that one influencer with the largest audience on the digital space. It is good to wish and aim higher, but you need not to spend tens of millions for few social media posts just because you...

Read More

Hatua za kutengeneza Programu Bora ya Waraghbishi (Influencers Marketing Program)

Ili uweze kufikia malengo yako ya kimasoko katika kutangaza huduma au bidhaa za kampuni yako, kutumia waraghbishi (Influencers) ni njia nzuri. Kufanya masoko kupitia waraghbishi (Influencer Marketing) imekuwa ni mbinu mpya na nzuri kwa makampuni, taasisi na hata mashirika katika miaka ya hivi karibuni. Mraghbishi (Influencer) ni mtu wa...

Read More

Mambo ya kuzingatia ili kuhakikisha kuwa biashara au taasisi yako haipotezi data za kieletroniki

Karne ya 21 imekuja na maendeleo makubwa katika sayansi na teknolojia, hasa katika kompyuta na mifumo yake. Wakati huu ambao kompyuta na mifumo yake inatengenezwa kwa ubora wa hali ya juu kabisa, bado kuna changamoto ambazo hujitokeza. Upotezaji wa taarifa zinazohifadhiwa katika kompyuta ni moja kati ya jambo sugu...

Read More

Mambo matano yatakaoyoongeza ufanisi wa biashara au taasisi yako mtandaoni

Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na Symantec unaonesha kwamba makampuni makubwa yanapoteza wastani wa dola milioni 4.3 au shilingi bilioni 10 za kitanzania kila mwaka duniani, hii ikitokana na makosa mbalimbali ya kimtandao. Hata kwa wataalamu wakubwa zaidi katika sekta ya mitandao ya kijamii na digitali bado kuna changamoto...

Read More